Madaktari jijini Mombasa wafanya maandamano

  • | Citizen TV
    65 views

    Muungano wa madaktari KMPDU wamepuulizia mbali kauli ya Mwenyekiti wa baraza la magavana Ann Waiguru kuwa serikali za kaunti zitawachukulia madaktari wanaosusia kazi au kushiriki mgomo hatua za kisheria .