- 975 viewsDuration: 3:08Katika hatua ya kihistoria ya matibabu nchini, madaktari katika hospitali ya kitaifa ya Kenyatta walifanikiwa kufanya upasuaji wa kupunguza uzito wa matiti kwa msichana wa miaka kumi na saba. Msichana huyo wa kidato cha tatu ambaye alikuwa amelazimika kusitisha masomo yake sasa akianza upya maisha yake baada ya kupunguzwa zaidi ya kilo 20 za uvimbe kwenye matiti yake