Madaktari wa hospitali kuu ya makadara Mombasa walaumiwa

  • | Citizen TV
    1,387 views

    Familia moja kutoka Mombasa inataka hatua kali kuchukuliwa dhidhi ya hospitali kuu ya Makadara baada ya jamaa yao Richard Mwarinda kufariki kwa kile wanachodai ni utepetevu wa madaktari na wauguzi hospitalini humo.