Skip to main content
Skip to main content

Madaktari wa mifugo walalamikia ongezeko la uchinjaji wa nyama msituni

  • | Citizen TV
    0 views
    Muungano wa chama cha madaktari wa mifugo Nchini unalalamikia ongezeko la visa vya uchinjaji wa nyama msituni na kisha nyama hiyo kupelekwa Katika mabucha hasa mijini.