Madarasa mapya ya sekondari msingi yajengwa Malindi

  • | KBC Video
    3 views

    Serikali imetumia zaidi ya shilingi milioni 125 kujenga madarasa ya Junior Secondary katika eneobunge la Malindi, kaunti ya Kilifi kama sehemu ya juhudi za kuziba pengo la miundombinu katika sekta ya elimu. Mradi huu unafadhiliwa na Benki ya Dunia kupitia Mpango wa Usawa katika Elimu ya Msingi humu nchini

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive