MADHILA YA TANA RIVER: Watu 8,000 wasalia kwenye kambi tangu mwezi Aprili

  • | Citizen TV
    558 views

    Mashirika ya kutetea haki na elimu nchini sasa yanataka mahakama ishughulikie kwa dharura uamuzi wa kesi iliyowasilishwa kupinga mfumo mpya wa ufadhili wa elimu katika vyuo vikuu. Mashirika haya yanayojumuisha Elimu Bora na Tume ya kutetea haki za Kibinadamu ya KHRC yanasema kuwa, sheria ilikiukwa katika utekelezaji wa mfumo huu, unaoendelea kuwaathiri wanafunzi wengi wanaotaka ufadhili.