- 17,391 viewsDuration: 5:58Aliyekuwa waziri mkuu na kinara wa ODM Raila Odinga amezikwa nyumbani kwao huko Kang’o ka Jaramogi eneo la Bondo kaunti ya Siaya hii leo. Raila amezikwa kwenye hafla ya kijeshi iliyokamalishwa kwa hafla ya kijeshi iliyokamilishwa na mizinga 17 ya kijeshi. Mazishi ya Raila yalifanyika baada ya kutwa nzima ya ibada na hotuba za kumkumbuka katika uwanja wa Chuo Kikuu cha Jaramogi Oginga Odinga ambako maelfu ya wakenya walijitokeza kwa hafla hii.