Maelfu ya Waisraeli waandamana kushinikiza mateka waachiliwe
Maelfu ya Waisraeli waliandamana kuzunguka viwanja vya wizara ya ulinzi huko Tel Aviv Jumatano (Januari 24) wakitaka mateka waachiliwe mara moja.
Waandamanaji walikuwa wamebaba mabango yaliyokuwa na picha za baadhi ya mateka 136 ambao bado wanashikiliwa huko Gaza tangu Oktoba 7, wakipaza sauti “makubaliano sasa!” na “Tunataka warejeshwe wakiwa hai!”
Muda fulani kundi moja la waandamanaji walifunga barabara kuu iliyokuwa karibu kwa dakika kadhaa, na kusababisha magari yote kusimama. Baadhi ya magari yalipiga honi yakiwaunga mkono.
Maandamano mengine yalifanyika karibu na makazi ya Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, huko Jerusalem.
Israel ilianzisha mashambulizi kuwatokomeza Hamas baada ya kushambulia miji ya Israeli Oktoba 7 wakiuwa kiasi cha watu 1,200 na kuwateka watu 240.
Maafisa wa afya wa Palestina walisema watu wasiopungua 25,700 wakazi wa Gaza wameuawa katika vita hivyo, ikiwemo 210 waliofariki katika saa 24 zilizopita. - Reuters
#Haifa #waelaldahdouh #hamzaaldahdouh #shirikalamwezimwekundu
#Rafah #Netanyahu #Misri #Hamas #Gaza #Palestina #IDF #GalMeirEizenkot #mauaji #jeshi #israel #voa #voaswahili #mwandishi #aljazeera #maghazi #khanyounis
13 Aug 2025
- The president had previously hosted thousands of youths at State House.
13 Aug 2025
- China expects to import 2,000 tonnes of macadamia by the end of the year.
13 Aug 2025
- The MP has shown interest in running for governor of Nairobi.
13 Aug 2025
- President William Ruto on Wednesday assented to the County Allocation of Revenue Bill, 2025, and the County Public Finance Laws (Amendment) Bill, 2023.
13 Aug 2025
- The ruling follows a petition filed by four individuals, among them Nakuru-based surgeon Dr. Benjamin Gikenyi, challenging the legality of the committee appointed to audit pending NHIF claims.
13 Aug 2025
- The president had previously hosted thousands of youths at State House.
13 Aug 2025
- China expects to import 2,000 tonnes of macadamia by the end of the year.
13 Aug 2025
- "Tusiharibu game tumestruggle sana kuijenga.”
13 Aug 2025
- The PROMISES!
13 Aug 2025
- Senior officials from the British Army Training Unit Kenya (BATUK) failed to appear in Parliament on Tuesday to answer questions about the atrocities their soldiers have committed in the country.
13 Aug 2025
- African officials and experts have warned that the unpredictability of U.S. trade policy fuels uncertainty for the continent's development.
13 Aug 2025
- For those with visual impairments, female ownership is slightly higher at 70.8% compared to males at 66.1%.
13 Aug 2025
- Staying in touch with friends and family accounts for 60.2% of usage.