Skip to main content
Skip to main content

Maendeleo ya wanawake waanzisha kampeni ya matumizi ya maji safi

  • | Citizen TV
    244 views
    Duration: 1:13
    Chama cha maendeleo ya wanawake nchini kimeanzisha harakati za kuhakikisha akina mama mashinani wanapata na kutumia maji safi na salama ili kujikinga dhidi ya maradhi yanayosababishwa na matumizi ya maji machafu.