Maeneo kadhaa humu nchini kuendelea kushuhudia mvua katika saa 24 zijazo

  • | KBC Video
    16 views

    Maeneo kadhaa humu nchini yataendelea kushuhudia mvua katika saa 24 zijazo. Katika taarifa yake ya kila wiki, idara ya utabiri wa hali ya hewa imesema maeneo ya Pwani, Eneo la kati, Bonde la ufa na Nyanda za chini kusini mashariki mwa nchi yatashuhudia mvua nyepesi itakayoandamana na Ngurumo za radi. Eneo la Lodwar litarekodi viwango vya juu vya joto vya nyuzi 37. Licha ya eneo la Nairobi kushuhudia mvua kubwa hapo jana, jiji hili litashuhudia mvua ya Kadri na nyepesi

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive