- 5,293 viewsDuration: 3:28Familia za Wakenya waliosajili kwenda urusi wamewasilisha waraka kwa bunge la kitaifa kutaka majibu ya haraka kuhusu jamaa zao waliosafiri nchini Urusi kupigana vita. Familia za waathiriwa leo zikitembea hadi bungeni, wakidai baadhi ya jamaa zao wameshikwa mateka nchini humo. Haya yanajiri huku wakala aliyehusishwa na safari hizo akirejeshwa kortini kujua hatma ya iwapo ataachiliwa kwa dhamana au la.