5 Mar 2026 1:40 pm | Citizen TV 10 views Wakulima wanaojihusisha na kilimo hai katika kaunti ya Busia na eneo la Magharibi kwa jumla wameshauriwa kuwa na cheti cha kudhibitisha kuwa vyakula wanavyokuza na kuuza ni vya kilimo cha kiteknolojia ya kiikolojia.