17 Dec 2025 10:11 am | Citizen TV 866 views Duration: 1:08 Maafisa 147 wa ngazi ya juu na wengine 103 wa shirika la kulinda na kuhifadhi wanyamapori KWS wanatarajiwa kufuzu siku ya Ijumaa katika chuo cha mafunzo ya KWS cha Manyani Kaunti ya Taita Taveta.