- 828 viewsDuration: 2:23Familia zinazoishi karibu na Mto Tana, Kaunti ya Garissa, zimeanza kuhama baada ya Mto Tana kuvunja kingo zake kutokana na kuongezeka kwa viwango vya maji. Familia hizo zinahangaika kwa kukosa mahala pa kwenda. Aidha, wanahofia kukosa chakula kwani sasa wamejihifadhi kwenye kambi za muda.