- 5,594 viewsDuration: 3:54Mamia ya watu watalazimika kulala nje katika eneo la Nyamasaria huko Kisumu Mashariki baada ya nyumba zao kusombwa na mafuriko kufuatia mvua kubw ainayoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini. Nyumba kadhaa zimezama katika eneo hilo huku wakazi wakipoteza mali yao. Mafuriko pia yameathiri shule kadhaa