Mafuriko yaathiri barabara kuu ya Mombasa kuelekea Malindi

  • | Citizen TV
    677 views

    Mvua Kubwa Inayoendelea Kunyesha Kaunti Ya Mombasa Imeathiri Barabara Kuu Ya Mombasa Kuelekea Malindi. Wahudumu Katika Sekta Ya Uchukuzi Wamelalamikia Barabara Mbovu Hasa Katika Maeneo Ya Leisure, Vok,Kisimani Na Bombululu Ambapo Mashimo Yameendelea Kuwa Kero Na Kusababisha Magari Kuharibika.