- 1,169 viewsDuration: 3:31Athari ya mafuriko yaliyoshuhudiwa ijumaa yamedhihirika katika shule kadhaa jijini huku shughuli za masomo zikitatizika kufuatia uharibifu maeneo mengi. Katika shule ya msingi ya kware , wanafunzi na walimu walilazimika kusafisha tope na uchafu baada ya madarasa kufurika na kusababisha maji taka kuingia ndani ya shule hiyo. Idadi ya watu waliofariki kutokana na mafuriko hayo sasa imeongezeka na kufikia watu 44.