Skip to main content
Skip to main content

Mafuriko yameathiri familia zaidi ya 300 Amukura magharibi, Kaunti ya Busia

  • | TV 47
    75 views
    Duration: 2:06
    Mafuriko yameathiri familia zaidi ya 300 Amukura magharibi, Kaunti ya Busia. Wakazi walazimika kuhama makazi yao ghafla. Mito Malakisi na Malaba yavunja kingo zake. Waathiriwa wapata hifadhi katika shule ya Odiria. Viongozi wataka msaada wa dharura kutoka serikalini. #TV47SaaTano Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.' *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __ Connect with us: Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __