Mafuriko yamesababisha uharibifu Budalangi

  • | Citizen TV
    521 views

    Familia zaidi ya mia sita katika eneobunge la budalang'i zimelazimika kuhama kutokana na mafuriko. Wafanyibiashara katika soko la mau mau ambalo limezingirwa na maji wanakadiria hasara kubwa kutokana na mafuriko hayo yanayosababishwa na kufurika kwa Ziwa Victoria.