Magatuzi I Wagombeaji 12 kuwania spika wa bunge la kaunti ya Migori

  • | KBC Video
    26 views

    Wagombeaji 12 wameidhinishwa kuwania wadhifa wa spika wa bunge la kaunti ya Migori kwenye uchaguzi wa hapo kesho. Wadhifa huo uliachwa wazi kufuatia kutimuliwa kwa Charles Owino Likowa ambaye alihudumu kama spika wa 7 wa bunge hilo tangu kuanzishwa kwa mfumo wa ugatuzi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive