Magatuzi Mali ya thamani isiyojulikana yaharibiwa kufuatia moto mkubwa jumba la biashara la Ebrahim

  • | KBC Video
    68 views

    Mali ya thamani isiyojulikana imeharibiwa kufuatia moto mkubwa ulioteketeza jumba la biashara la Ebrahim katika barabara ya Moi Avenue. Afisa mkuu wa uchunguzi wa jinai katika kaunti ndogo ya Nairobi ya kati Tiberius Ekisa aliyetembelea eneo la tukio hilo alihusisha chanzo cha moto huo na hitilafu ya umeme. Taarifa kamili katika mseto wa kaunti.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive