Magatuzi : Mfanyakazi wa kampuni ya usambazaji maji Malindi ajeruhiwa na polisi wakati wa mgomo

  • | KBC Video
    22 views

    Mfanyakazi mmoja wa kampuni ya usambazaji maji huko Malindi anauguza majeraha baada ya kudaiwa kugongwa na mkebe wa kuhifadi gesi ya kutoa machozi uliorushwa na maafisa wa polisi wakati wa mgomo wa wafanyakazi wa kampuni hiyo. Wafanyakazi hao takriban 250 walidaiwa kufunga na kuliziba lango kuu la afisi za kampuni hiyo mjini Malindi huku wakishinikiza kuhutubiwa na wasimamizi wa kampuni hiyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channell: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #counties #darubini