Skip to main content
Skip to main content

Magatuzini I Kamanda wa Polisi wa Kaunti ya Baringo atoa msaada wa vyakula na bidhaa

  • | KBC Video
    78 views
    Duration: 5:31
    Kamanda wa Polisi wa Kaunti ya Baringo, Julius Kiragu, akiandamana na maafisa wa polisi, walitoa msaada wa vyakula na bidhaa mbalimbali kwa Shule ya watu walio na ulemavu wa macho na masikio ya Kabarnet katika eneo la Baringo ya kati. Na katika Kaunti ya Kiambu, wakazi wa eneobunge la Lari wanaotarajiwa kuathiriwa na upanuzi wa barabara ya Rironi hadi Mau Summit yenye urefu wa kilomita 175, walihudhuria kikao cha ushirikishi wa umma kilichoandaliwa na maafisa wa halmashauri ya Barabara Kuu Nchini humu nchini(KeNHA)...Kwa taarifa hizi na nyingine huu hapa mseto wetu wa habari kutoka magatuzini. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive