- 147 viewsDuration: 3:15Serikali kupitia wizara ya elimu inahimizwa kuongeza mgao wa fedha kwa shule zenye wanafunzi walio na mahitaji maalum, wakati huu ambapo inaendelea kuhakiki taasisi za elimu. Taarifa kamili katika mseto wa kaunti. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive