Wanandoa wamehimizwa kupea kipaumbele usalama wao wanapokumbana na ghasia au changamoto zinazohatarisha maisha kwenye ndoa. Wakati uo huo, mashirika ya kutetea haki za binadamu yanayoongozwa na wanawake kutoka kaunti za Laikipia, Isiolo, Samburu, na Marsabit yametoa wito kwa serikali ya kitaifa na zile za kaunti kuanzisha hazina maalum inayodhamiriwa kukabiliana na dhuluma za kijamii zinazohatarisha maisha na usalama wa wasichana katika maeneo hayo. Taarifa kamili ni kwenye mseto wa magatuzi.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive