Wakazi wa Shauri Yako, Kifufuti na Magina katika wadi ya Kijabe kaunti ya Kiambu, wamelalamikia hali duni ya barabara katika eneo hilo, wakidai viongozi wa ngazi zote wamewatenga. Wakazi hao ambao ni wakulima wamesema barabara ambazo hazipitiki zimelemaza usafirishaji wa mazao ya shambani na kuwalazimu kuyauza kwa bei ya chini. Taarifa zaidi ni kwenye dira ya kaunti.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive