Skip to main content
Skip to main content

Israel yadai kumuua kamanda wa jeshi la wanamaji la Iran. Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    27,255 views
    Duration: 28:11
    Waziri wa Ulinzi wa Israel, Israel Katz amesema wamefanikiwa kumuua kamanda wa jeshi la wanamaji la Iran Alireza Tangsiri, aliyehusika pakubwa na kuzuia safari za meli katika Mlango-Bahari wa Hormuz". Ameongezea kuwa "maafisa wengine wakuu wa jeshi la majini" pia wameuawa. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw