Magavana wa kaunti tatu za Ukambani wakutana kubuni muungano wa kiuchumi

  • | Citizen TV
    556 views

    Magavana wa kaunti tatu za Ukambani hii leo watakuwa na mkutano wa muungano wa kiuchumi wa kaunti hizo. Mkutano unaofanyika katika afisi za gavana wa Makueni Mutula Kilonzo Jnr. Mkutano huo unalenga kuweka mikakati ya kuimarisha uchumi wa kaunti hizo tatu.