Magavana wa Pwani waahirisha mkutano na rais Ruto

  • | Citizen TV
    653 views

    Magavana wa pwani wamesema watAasusia kikao na Rais William Ruto kilichopangwa hapo kesho kujadili swala la miraa na muguka. Magavana hao sita wa Pwani sasa wakimtaka rais kuwapa muda zaidi ili kujadiliana na wakaazi wa pwani kabla ya kukutana naye. Kikao hicho kimepangiwa ikulu hapo kesho na kujumuisha magavana wa Embu, Tharaka Nithi na Meru.