Skip to main content
Skip to main content

Magavana wakanusha madai ya vifo vya watoto 136 Kiambu kutokana na mgomo wa madaktari

  • | KBC Video
    130 views
    Duration: 3:14
    Baraza la magavana limekanusha madai yaliyotolewa na chama cha madaktari (KMPDU) kuhusu vifo vya watoto 136 katika Kaunti ya Kiambu vinavyodaiwa kusababishwa na mgomo wa madaktari unaoendelea. Kwa mujibu wa baraza hilo, huduma za afya zinaendelea katika kaunti hiyo, na madai hayo yanalenga kumharibia sifa Gavana wa Kiambu, Kimani wa Matangi. Wakati huohuo, baraza hilo limemteua tena Gavana wa Wajir, Ahmed Abdullahi, kuendelea kuhudumu kama mwenyekiti wa baraza hilo kwa muhula wa pili. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #Kenya #News