- 922 viewsViongozi mbalimbali kutoka mkoa wa Magharibi wamesema ukanda huo uko tayari kuunga mkono azma ya Rais William Ruto ya awamu ya pili ya uongozi, ila wanataka kiti cha naibu rais kutengewa eneo hilo. Haya yanajiri ni huku viongozi wenzao waliokuwa huko kericho wakisema kuwa nafasi hiyo itasalia kuwa ya naibu rais profesa kithure kindiki