Mahabusu wa wizi wa kimabavu atoroka mahakama ya Kibera kwa kuruka ukuta wa seli

  • | Citizen TV
    1,952 views

    Mfungwa aliyefikishwa katika mahakama ya Kibera kusomewa hukumu yake katika mashtaka ya wizi wa kimabavu ametoweka. Inadaiwa Alex Kibisu alitoweka kwa njia tatanishi kwa kuruka ukuta wa nyuma wa eneo la seli za mahakama hiyo na kutoweka akiwa na pingu mkononi.