Mahakam Kuu yaagiza Philip Aroko

  • | Citizen TV
    525 views

    Mahakama kuu imeagiza mshukiwa wa mauaji ya mbunge wa Kasipul Ong'ondo Were, Phillip Aroko asalie kizuizini hadi pale siku saba zilizoruhusiwa na mahakama zikamilike.