Mahakama imesitisha juhudi za serikali kukodisha viwanda 5 vya kusaga sukari nchini

  • | West TV
    27 views
    Mahakama kuu ya milimani jiijini nairobi jumatano hii imesimamisha kwa muda utaratibu wa utoaji zabuni ya kimataifa ya kuvikodisha viwanda vinne vya sukari katika eneo la magharibi kutokana na kesi iliyowasilishwa mahakamani humo