Skip to main content
Skip to main content

Mahakama itatoa uamuzi wa mwisho wa umiliki wa ardhi Kiboroa

  • | Citizen TV
    264 views
    Duration: 1:37
    Hatima ya familia 21,179 za Kiboroa Squatters Alliance sasa imo mikononi mwa Mahakama ya Mazingira na Ardhi mjini Kitale, ambayo imetangaza kuwa uamuzi wa mwisho wa kesi hiyo utatolewa Desemba 10 mwaka huu.