28 Apr 2026 7:53 pm | Citizen TV 1,426 views Duration: 1:09 Mahakama Kuu mjini Nakuru imeamua kuwa afisa wa jeshi anayekabiliwa na mashtaka ya kumuua mkewe tarehe 14 Aprili hawezi kufikishwa mahakamani kujibu mashtaka kwa sasa.