Mahakama kuu ya Embu imetupilia mbali ombi lililowasilishwa na wakazi kuhusu ardhi ya ekari 40,000

  • | KBC Video
    14 views

    Mahakama kuu ya Embu imetupilia mbali ombi la awali lililowasilishwa na baadhi ya wakazi wanaishi kwenye ardhi ya ekari elf-44 ya mpango wa makazi wa Mwea la kutupilia mbali ombi la kundi la wazee wa jamii ya Mbeere wanaodai umiliki wa ardhi hiyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive