- 63 viewsMahakama ya rufaa inatarajiwa kutoa uamuzi kuhusu uhalali wa hazina ya ustawishaji maeneobunge ng-cdf iliyobatilishwa na mahakama kuu kwamba ni kinyume na katiba. Bunge lilikata rufaaa kuhusu uamuzi wa kubatilisha NG-CDF likitaka hazina hiyo iendelee kusimamiwa na maeneobunge.