Mahakama kuu yatarajiwa kutoa uamuzi kuhusu Manaibu Waziri 50 adhuhuri ya leo

  • | Citizen TV
    653 views

    Mahakama kuu inatarajiwa kutoa maagizo kuhusu hatma ya manaibu waziri 50 walioapishwa na rais william ruto. Manaibu waziri hao hawajaanza kazi tangu kuapishwa kufuatia agizo la mahakama kuu kuwa wasianze kazi hadi kesi iliyowasilishwa isikizwe na kuamuliwa. kwenye uamuzi wa jaji Hedwig Ong'udi, mahakama iliwazuia maafisa hao kupata mishahara na marupurupu hadi kesi zilizowasilishwa na chama cha wanasheria na shirika la Katiba Institute. Aidha bunge lilikataa kuwapiga msasa manaibu waziri hao likisema kuwa halina jukumu la kikatiba kufanya hivyo.