- 5,902 viewsDuration: 3:51Imekuwa pigo kwa waathiriwa wa mlipuko wa bomu wa mwaka 1998 jijini nairobi baada ya mahakama kuu kutupilia mbali ombi lao la fidia, hatua iliyohitimisha kesi ambayo wengi walitarajia ingewaletea haki zaidi ya miongo miwili baada ya tukio hilo. Katika uamuzi wake, mahakama imesema kuwa walalamishi walishindwa kuthibitisha kuwa serikali ilikuwa na taarifa za kijasusi ambazo zingesaidia kuzuia shambulio hilo,