- 221 viewsDuration: 1:25Mahakama ya kushughulikia migogoro ya michezo imeagiza shirikisho la soka la Kenya kufungua tena kesi ya mechi iliyotibuka kati ya nairobi united na gor mahia. Fkf ilikuwa imetoa alama kwa kila timu, lakini mahakama hiyo sasa imeipa FKF siku tano kutoa uamuzi wa mechi hiyo ikitumia sheria ya mwaka wa 2019