Mahakama ya Milimani kutoa uamuzi kuhusu kesi ya hatia ya wizi wa kimabavu wa Daksha Patel

  • | KBC Video
    104 views

    Mahakama ya Milimani itatoa uamuzi kuhusu hatima ya upande wa utetezi mapema wiki ijayo. Haya yanajiri baada ya watu watano miongoni mwao afisa wa polisi, kupatikana na hatia ya wizi wa kimabavu wa Daksha Patel mwaka 2020. Taarifa kamili ni katika mizani ya haki.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive