Skip to main content
Skip to main content

Mahakama ya Nyeri imemhukumu kifo mwanamme aliyemuua mtoto wa miaka 7

  • | Citizen TV
    2,321 views
    Duration: 2:56
    Mahakama kuu ya Nyeri imemuhukumu kifo mwanamume aliyekubali kumbaka na kumuua mtoto wa miaka saba mwaka jana. Jaji Kizito Magare ametoa hukumu hii dhidi ya Nicholas Julius Macharia, akiyataja mauaji ya mtoto Tamara Blessing Kabura kuwa ya kinyama na yalihitaji adhabu ya juu.