- 3,763 viewsDuration: 2:06Mahakama kuu imeamuru akaunti tano za benki za Gavana wa Kiambu, Kimani Wamatangi, zifungwe kwa muda kuhusiana na kesi ya ufisadi wa shilingi milioni 813. Haya yanajiri kufuatia ombi la tume ya maadili na kupambana na ufisadi (EACC), linalosema pesa hizo zilipatikana kwa njia zisizo halali kupitia kampuni tano zinazohusishwa na gavana huyo. Amri hiyo ya mahakama itaendelea kutekelezwa hadi tarehe 4 mwezi ujao, ambapo kesi hiyo itasikilizwa tena ili mahakama itoe mwelekeo zaidi. Giverson Maina na taarifa kamili. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive