Skip to main content
Skip to main content

Mahakama yabatilisha kifungo cha Moses Lenolkulal

  • | Citizen TV
    1,198 views
    Duration: 2:03
    Mahakama kuu imemuondolea hatia ya ufisadi aliyekuwa gavana wa Samburu Moses Lenolkulal, kwenye uamuzi uliofutilia mbali kifungo cha miaka minane, kwenye kesi ufisadi wa shilingi milioni 83. Kwenye uamuzi wake, Jaji Benjamin Musyoki, anasema kuwa upande wa mashtaka ulishindwa kutoa ushahidi wa kutosha wa kuwa Lenolkulal alihusika na ubadhirifu wa fedha hizo, na kwamba aliitumia nafasi yake kama gavana kujifaidi.