Mahakama yakataa kuondoa kesi ya ufisadi ya Pipeline

  • | Citizen TV
    299 views

    Mahakama ya Milimani imekataa ombi la kuondoa kesi ya ufisadi ya shilingi milioni 30 inayomhusisha aliyekuwa mkurugenzi mkuu wa Kampuni ya Kenya pipeline charles kiprotich tanui na washukiwa wenzake. Hatua hii ikiwa pigo kwa afisi ya mkurugenzi wa mashtaka ya umma kwani sio mara ya kwanza ombi kama hili linatupiliwa mbali na mahakama.