Mahakama yasema mauaji wa Arshad Sharif ni kinyume na sheria

  • | NTV Video
    444 views

    Serikali ya taifa la Kenya imeamrishwa na mahakama kuu kulipa fidia ya shilingi milioni kumi kwa familia ya mwanahabari wa runinga kutoka taifa la Parkistani Arshad Sharif, aliyeuawa kwa njia tatanishi kaunti ya Kajiado mwaka wa 2022.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya