Mahakama yasitisha kuondolewa kwa mawaziri Trans Nzoia

  • | Citizen TV
    363 views

    Mahakama ya Kitale imesitisha kwa muda mswada wa kuwabandua mawaziri wawili na katibu mkuu wa kaunti ya Trans Nzoia, huku naibu spika katika bunge la kaunti hiyo akisema kuwa watarejelea mswada huo baada ya mahakama kutoa uamuzi wao.