Mahakama yasitisha ujenzi wa kanisa katika Ikulu ya Rais

  • | Citizen TV
    801 views

    Hakuna ujenzi wowote wa kanisa la kudumu au hata maeneo ya ibada unaoweza kuendeshwa katika ikulu ya Rais kwa sasa. Hii ni baada ya Mahakama kusitisha ujenzi wa maeneo haya ya ibada pia kwenye ikulu ndogo nchini