Mahakama yatoa mafunzo ya sheria ya ardhi na mizozo ya ndoa kwa wakazi wa Mpeketoni

  • | Citizen TV
    99 views

    Mahakama ya Mpeketoni kwa ushirikiano na shirika la kutetea haki za kibinadamu la MUHURI wameanzisha mpango wa kuhamasisha wakaazi wa Lamu kuhusu haki zao za kisheria.